Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

HAKIMI: Baba’machinga’ Mama mfanya usafi

Bahati huwapenda wenye ujasiri. Muulize Achraf Hakimi atakupa majibu. UTAMBULISHO WAKE Achraf Hakimi mwenye miaka 24 alizaliwa November 8,1998 katika…

Soma Zaidi »

Hazard astaafu timu ya taifa

Kiungo wa Ubelgiji na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu soka kwa kuichezea timu yake ya Taifa ya Ubelgiji. Kupitia…

Soma Zaidi »

Geita yaachana na Mpole

UONGOZI wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuachana na mshambuliaji George Mpole kwa sababu ambazo hawajaziweka wazi. Katika taarifa yao…

Soma Zaidi »

Mbwana Makata kocha mpya Ruvu Shooting

KLABU ya Ruvu Shooting imemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha wao mpya akisaini mkataba wa mwaka mmoja na kuchukuwa nafasi iliyoachwa…

Soma Zaidi »

Kocha Mkwasa ajiuzulu Ruvu Shooting

Kocha wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa ameikacha timu hiyo kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya ya Ligi Kuu Tanzania Bara.…

Soma Zaidi »

Mtanzania aweka rekodi Valencia Marathon

Mwanariadha Mtanzania, Gabriel Geay ameweka rekodi kwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya ‘Valencia marathon’ akitumia saa 2:03:00 kukimbia…

Soma Zaidi »

Giroud mfungaji bora Ufaransa

Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud anakuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu hiyo, mara baada ya kufunga bao la…

Soma Zaidi »

Wakorea wajipange, Neymar huyoo

Kocha wa Brazil, Adenor Leonardo Bacch ‘Tite’ amethibitisha kuwa nyota Neymar Jr amepona majeraha na atakuwepo kwenye mchezo wao raundi…

Soma Zaidi »

Messi amfunika Ronaldo baada ya mechi 1000

Washambuliaji Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wameendelea kunyukana kwa rekodi licha ya umri wao kuelekea Ukingoni. Takwimu zinaonyesha katika mchezo…

Soma Zaidi »

Aliou Cisse anaumwa

BADO haijajulikana wazi kama kocha mkuu wa Senegal, Aliou Cisse atakiongoza kikosi hicho kwenye mechi ya hatua ya 16 bora…

Soma Zaidi »
Back to top button