Sanaa

Kopwe: Mashariki ilinifungulia njia kuwa Miss Tanzania

PWANI:  MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, amesema ushiriki wake katika mashindano ya Miss Kanda ya Mashariki ulikuwa hatua muhimu katika…

Soma Zaidi »

Miss Kanda ya Mashariki waanzisha mwendo

PWANI: Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amesema serikali itaendelea kuunga mkono mashindano ya Miss Tanzania kwa kuwa…

Soma Zaidi »

Wanne waiwakilisha Tanzania maonesho ya sanaa Italia

Wasanii wanne wa Tanzania ambao ni Turakella Editha Gyindo, Amani Abeid, Lazaro Samuel na Valerie Asiimwe Amani, wameipeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

Vijana washauriwa kusoma masomo ya sanaa

DAR ES SALAAM: VIJANA wametakiwa kusoma masomo ya sanaa kwa kuwa ni  nyenzo muhimu katika kuitangaza nchi, pamoja na kutoa…

Soma Zaidi »

Washindi shindano la uchoraji wapewa zawadi

DAR ES SALAAM:BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa zawadi kwa washindi wa shindano la uchoraji kwa vijana lijulikanalo kama…

Soma Zaidi »

Chalamila awapatanisha waimbaji wa Injili

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapatanisha waimbaji wa muziki wa Injili Upendo…

Soma Zaidi »

Filamu ya ICC kuzinduliwa Dar, yazua mjadala wa haki ya kimataifa

DAR ES SALAAM — Onyesho la filamu “Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu: Haki ya Kimataifa Bila Universali?” linatarajiwa kufanyika Machi…

Soma Zaidi »

Mashirika ya vijana yafundwa kukabili mabadiliko tabianchi

WAWAKILISHI kutoka mashirika 10 yanayoongozwa na vijana, ambayo ni watekelezaji wa Mradi wa Vijana A@rtwork, wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo…

Soma Zaidi »

ZMBF Yapongeza Sanaa na Ubunifu Sharjah

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H.…

Soma Zaidi »

Mdundo yaanika mpango wa kuwajaza wasanii bilioni 5.7/-

DAR ES SALAAM: Mdundo, jukwaa kinara barani Afrika la usambazaji wa muziki, linaendelea kubadilisha tasnia ya muziki kwa kuwawezesha wasanii…

Soma Zaidi »
Back to top button