Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Madini nguzo muhimu ukuaji wa uchumi Tanzania

DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kuiweka sekta ya madini kama nguzo muhimu ya kukuza uchumi wa viwanda na kuimarisha ushirikiano…

Soma Zaidi »

Madini ya vito yavutia fursa ya uwekezaji

SPINEL ni mojawapo ya madini ya vito yenye thamani kubwa duniani, inayojipatia umaarufu mkubwa kimataifa kutokana na ubora wake, rangi…

Soma Zaidi »

Serikali, Lifezone wajadili Mradi wa Kabanga

MSAJILI wa Hazina,Nehemiah Mchechu, amekutana na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Lifezone Metals Limited, Keith Liddell, kujadili maendeleo ya…

Soma Zaidi »

‘Kutoka migodini hadi kupewa tuzo Kimataifa’

KATIKA sekta ya madini Tanzania, ambako mara nyingi wanawake wamekuwa upande wa pili wa historia. Leminatha Cornel Kabigumila amefungua mlango…

Soma Zaidi »

Tanzania kuitangaza ‘Tanzanite’ Qatar

SERIKALI imesema imeweka mkakati wa kutangaza madini ya tanzanite nchini Qatar ili kuongeza wigo wa masoko yake na kuvutia uwekezaji…

Soma Zaidi »

Mgodi wachangia bil 1.29/- serikalini miaka mitatu

MANYARA; MGODI wa Itracom Fertilizer Limited unaojihusisha na uchimbaji na uchakataji wa madini ya phosphate uliopo katika eneo la Vilima…

Soma Zaidi »

Tanzania, EU kushirikiana thamani ya madini

UMOJA wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo wa thamani wa madini. Mnyonyoro huo ni…

Soma Zaidi »

Bukombe: Shughuli za uchimbaji zarejea Msasa

GEITA: SERIKALI imeruhusu shughuli za uchimbaji kuendelea katika mgodi wa Msasa wilayani Bukombe baada ya kubaini idadi kubwa ya wachimbaji…

Soma Zaidi »

Serikali yaainisha mkakati kuendeleza wachimbaji wadogo

SERIKALI imeainisha mkakati mahsusi wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini, kwa kuweka kipaumbele katika utoaji wa leseni, upatikanaji wa…

Soma Zaidi »

Mavunde: Leseni za madini kwa vikundi, si mtu mmoja

SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema leseni za uchimbaji madini hazitatolewa kwa mmoja mmoja, bali vijana wanapaswa kuunda vikundi…

Soma Zaidi »
Back to top button