Na Brighita Masaki

Sayansi & Teknolojia

Acer yajikita kwenye vifaa vya teknolojia Afrika Mashariki

DAR ES SALAAM: ULIMWENGU wa teknolojia umeendelea kuibua mbinu na vifaa vipya ili kuruhusu dunia kutambua thamani na ukubwa wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Timu ya Mabingwa wa Safari Lager yatangazwa

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetangaza wachezaji 22 watakaoiwakilisha timu ya Mabingwa wa Safari Lager 2025. Wachezaji…

Soma Zaidi »
Jamii

“Watoto walindwe dhidi ya mitandao”

DAR ES SALAAM: Serikali inaendelea na juhudi kuhakikisha  inawalinda watoto dhidi ya maudhui yanayoweza kuwapotezea dira na muelekeo  wa maisha.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Biteko: Tanzania ina umeme wa kutosha

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Tanzania ina umeme wa kutosha hatua…

Soma Zaidi »
Fursa

Wafanyabiashara waguswa neema daraja la JPM

GEITA: WAFANYABIASHARA na wakulima mkoani Geita wamekiri kuwa baada ya kukamilika na kuzinduliwa daraja la JP Magufuli kumepunguza gharama za…

Soma Zaidi »
Featured

Wananchi Esilalei, Losirwa kunufaika mradi wa maji

ARUSHA: WANANCHI zaidi ya 8,757 kutoka vijiji vya Esilalei, Losirwa wamenufaika na mradi wa maji wilayani Monduli mkoani Arusha. Hayo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Asilimia 30 zabuni za umma zatengwa makundi maalumu

IRINGA: Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kushiriki kikamilifu katika mifumo rasmi ya uchumi kwa…

Soma Zaidi »
Featured

Dodoma kuzindua kitabu cha kukuza utalii

DODOMA: OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ulinzi na Usalama ya Sekta ya Utalii…

Soma Zaidi »
Uchumi

Watanzania kuwekeza sarafu na iDollar Fund

DAR ES SALAAM: MFUKO wa Uwekezaji wa Pamoja iDollar Fund utawezesha Watanzania kuwekeza sarafu za kigeni kama vile Dola, Pauni…

Soma Zaidi »
Featured

BITEKO: Kinyerezi itazalisha umeme hadi megawati 1,000

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amesema serikali inatarajiwa kuongeza uwezo wa kituo…

Soma Zaidi »
Back to top button