Infographics

TADB kupeleka 14 maonesho Japan

DAR ES SALAAM — Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewawezesha wateja wake 14 kusafiri kwenda Japan kushiriki maonesho…

Soma Zaidi »

Uchomaji moto misitu watia hofu wawekezaji Missenyi

MISSENYI: Vitendo vya uchomaji moto misitu, mashamba na maeneo ya malisho vimeendelea kuleta hofu na simanzi kwa wawekezaji na wananchi…

Soma Zaidi »

SUA yawajengea uwezo wananchi wanaoshiriki biashara ya kaboni

MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kupitia Mradi wa Tathmini ya Mapato ya Kaboni kama Njia Endelevu ya…

Soma Zaidi »

Serikali yasisitiza usahihi wa taarifa

DAR ES SALAAM: Serikali imesisitiza umuhimu wa kusimamia uadilifu, usahihi na ukweli katika mnyororo wa taarifa, hasa katika kipindi hiki…

Soma Zaidi »

Serikali yatambua mchango wa Saccos ustawi wa watu

MOROGORO: SERIKALI imesema inatambua kuwa vyama vya ushirika na saccos nchini vina mchango mkubwa katika kukuza uchumi kwa wananchi na…

Soma Zaidi »

BRELA yatoa wito usajili nembo za biashara

GEITA: WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewaomba wafanyabiashara, wajasiriamali na wachimbaji wadogo kuzingatia usajili wa nembo ya…

Soma Zaidi »

CCM Kigoma yataka miradi ianze kutoka huduma

KIGOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma kimezitaka halmashauri za mkoa huo kushughulikia changamoto zinazokwamisha miradi ya maendeleo ili…

Soma Zaidi »

Wananchi Pagwi waiomba Serikali kukamilisha zahanati

TANGA: WANANCHI wa Kijiji cha Pagwi, wilayani Kilindi, mkoani Tanga, wameiomba Serikali kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao ulioanza mwaka…

Soma Zaidi »

Dk Gwajima: Wanawake tutafute elimu tujenge uchumi

DODOMA: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima, amewataka wanawake kutafuta elimu na kujiimarisha…

Soma Zaidi »

Usafirishaji waingiza Dola milioni 2.7, mwaka 2025

ARUSHA; SEKTA ya usafirishaji nchini imezalisha Dola za Marekani bilioni 2.7 mwaka 2025, sawa na asilimia 15.6 ya mauzo ya…

Soma Zaidi »
Back to top button