Infographics

Soko la Machinga matumaini mapya Iringa

IRINGA: Matumaini ya wafanyabiashara wadogo mjini Iringa kupata eneo rasmi la kufanyia biashara yameongezeka baada ya kuwekwa wazi mpango wa…

Soma Zaidi »

Wanandoa watakiwa kuheshimiana, kuaminiana

DAR ES SALAAM: Wanandoa wametakiwa kujenga utamaduni wa kusikilizana, kuaminiana, kuheshimiana na kushirikiana katika masuala ya kifamilia na kiuchumi ili…

Soma Zaidi »

Zuchu, Diamond waja kivingine kuelekea 40 ya mtoto

DAR ES SALAAM: Shamrashamra za kuelekea kuadhimisha siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto wa mastaa wa muziki nchini, Zuhura Othman…

Soma Zaidi »

Mwang’onda azitaka halmashauri Kigoma kuvutia wawekezaji

KIGOMA: Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu, Wazo Mwang’onda, amezitaka halmashauri za Mkoa wa Kigoma kuweka mazingira…

Soma Zaidi »

Shule ya msingi Makangaga yapata darasa jipya

LINDI: SHULE ya Msingi Makangaga iliyopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi imepokea darasa jipya kutoka katika kampuni ya uzalishaji…

Soma Zaidi »

Programu ya AFDP yawafikia wakulima Tanga

TANGA: UJUMBE kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) pamoja na wataalamu kutoka sekta mbalimbali zinazotekeleza Programu ya…

Soma Zaidi »

Polisi Arusha wapanda miti Shule ya Msingi Arusha

ARUSHA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewakumbuka viongozi wakuu wa serikali pamoja na watu maarufu nchini waliosoma katika Shule…

Soma Zaidi »

Mabonanza ya watumishi yasifiwa kujenga afya

IRINGA: MABONANZA ya michezo kwa watumishi wa taasisi mbalimbali yameelezwa kuwa na nafasi muhimu katika kuimarisha afya ya mwili na…

Soma Zaidi »

Mtatifikolo atoa mil 1/- kwa kikundi cha wanawake Isimani

IRINGA: MBUNGE wa Jimbo la Isimani, Emmanuela Mtatifikolo, ametoa Sh milioni moja kwa kikundi cha wanawake cha Mwangaza Food Point…

Soma Zaidi »

Utalii wa maombi waibua fursa kiuchumi

ARUSHA: UTALII wa maombi umeendelea kuibua fursa mpya za kiuchumi na kuvutia wageni katika Ziwa Duluti, wilayani Arumeru, huku serikali…

Soma Zaidi »
Back to top button