Heko sekretarieti EAC kwa mipango thabiti

WIKI iliyopita kulikuwa na vikao takribani vitatu jijini Arusha vilivyohusu masuala ya maendeleo kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Katika vikao hivyo baraza la 40 la dharura kuhusu sekta ya biasahara, viwanda, fedha na uwekezaji lilikutana kujadili mambo mbalimbali lakini jambo kubwa likiwa ukuaji wa viwanda. Mkutano huo uliwakutanisha wawakilishi kutoka nchi za … Continue reading Heko sekretarieti EAC kwa mipango thabiti