INEC yaagiza mfumo shirikishi kuelekea uchaguzi mkuu

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji na maofisa waliopewa dhamana ya kusimamia shughuli za uchaguzi mkuu 2025 kuendesha mchakato kwa mfumo shirikishi wa vyama vyote. Aidha INEC imewataka watendaji na maofisa hao wa uchaguzi kusoma kwa umakini katiba, sheria, kanuni, miongozo na maelekezo mbalimbali yaliyotolewa na yatakayotolewa ili kuweka usawa na haki. … Continue reading INEC yaagiza mfumo shirikishi kuelekea uchaguzi mkuu