Je, Ahmed Asas atavunja ukimya ubunge Iringa Mjini?

IRINGA: Joto la kisiasa limepanda Iringa Mjini huku macho na masikio ya wananchi yakielekezwa kwa mfanyabiashara maarufu na mdau wa maendeleo ya jamii, Ahmed Asas. Ahmed jina lake linatajwa kwa sauti kubwa miongoni mwa wana-CCM na wananchi wanaomshinikiza ajitokeze kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. Kesho, Juni 28, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafungua rasmi dirisha … Continue reading Je, Ahmed Asas atavunja ukimya ubunge Iringa Mjini?