Jenista ashitukia mfumo Tehama hospitali ya rufaa

WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk Seif Shekalage kutuma timu ya wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwenda katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu kufanya ukaguzi na kuangalia kama mfumo wa Tehama unafanya kazi ipasavyo. Jenista alitoa maagizo hayo jana baada ya kufanya ziara ya … Continue reading Jenista ashitukia mfumo Tehama hospitali ya rufaa