Kasulu yatumia 4R uandikishaji uchaguzi mitaa

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kasulu imesema kuwa 4R za Rais Samia ni miongoni mambo manne yaliyoifanya halmashauri hiyo kufanya vizuri kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Imeelezwa kuwa Mkoa wa Kigoma umefikisha asilimia 99.7 ya uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali … Continue reading Kasulu yatumia 4R uandikishaji uchaguzi mitaa