Kilimo cha Mkonge kina fursa – Maghali

BODI  ya Mkonge Tanzania (TSB), imewatoa hofu watanzania wanaotaka kujikita kwenye kilimo cha zao la Mkonge kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo masoko. Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhamasishaji wa Bodi, David Maghali amesema hayo alipokuwa akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau mbalimbali waliotembelea katika Banda la TSB kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya … Continue reading Kilimo cha Mkonge kina fursa – Maghali