Kiongozi mbio za mwenge ataka zahanati kukamilika kwa wakati

KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Abdalah Shaib KaimĀ ametaka mradi wa zahanati unaojengwa kwa gharama ya Sh milioni 100.9 katika kijiji cha Kwemakame,wilayani Lushoto mkoani Tanga kukamilika kwa wakati. Akiongea wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembele zahanati hiyo na kuweka Jiwe la Msingi, Kaim alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mradi huo na … Continue reading Kiongozi mbio za mwenge ataka zahanati kukamilika kwa wakati