Kriketi wanawake watinga nusu fainali Kwibuka

TIMU ya taifa ya wanawake ya kriketi ya Tanzania imetinga nusu fainali katika mashindano ya Kwibuka nchini Rwanda kwa ushindi wa kishindo wa mikimbio 119 dhidi ya Cameroon katika mchezo wa mwisho hatua ya ligi uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Gahanga, Kigali. Tanzania imefuzu hatua hiyo ikiwa miongoni mwa timu nne bora baada … Continue reading Kriketi wanawake watinga nusu fainali Kwibuka