Maafisa ugani washauriwa kutoa utalaamu kilimo
MKUU wa wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga amewataka maofisa ugani kutoa ushauri wa kitaalamu utakaowawezesha wananchi kupata mazao mengi katika kilimo kwa lengo la kusaidia kujiongezea kipato. Kiswaga amesema wakati wa kuwakabidhi vishikwambi 35 na magwanda maofisa ugani hao katika hafla fupi iliyofanyika ofisi ya halmashauri ya wilaya hiyo. SOMA: Maofisa ugani wapikwa mfumo wa … Continue reading Maafisa ugani washauriwa kutoa utalaamu kilimo
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed