Maandalizi ‘Great Ruaha Marathon’ yashika kasi
IRINGA: Maandalizi ya msimu wa nne wa Great Ruaha Marathon yanaendelea kwa kasi kubwa huku tukio hilo linalojizolea hadhi ya kimataifa, likitarajiwa kufanyika Julai 5, 2025, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, mojawapo ya hifadhi kubwa na za kipekee barani Afrika. Katika kuthibitisha uzito wa tukio hilo, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa … Continue reading Maandalizi ‘Great Ruaha Marathon’ yashika kasi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed