Mabadiliko sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa yasisitizwa

DAR ES SALAAM: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ameitaka serikali kufanya mabadiliko katika sheria za uchaguzi na vyama vya siasa ili kuimarisha uwajibikaji wa viongozi na kuhakikisha sauti za wananchi zinasikilizwa. Ameeleza hayo Januari 03, 2024 katika ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa uliofanyika Kituo cha … Continue reading Mabadiliko sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa yasisitizwa