Mafanikio Simba yachomoza bungeni

DODOMA; KLABU ya Simba imepongezwa kwa kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na pia kushika nafasi ya nne kwenye viwango vya ubora Afrika. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2025/26. “Mheshimiwa Spika, … Continue reading Mafanikio Simba yachomoza bungeni