Majaliwa: Serikali inataka makubwa zaidi kwenye michezo
DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza bajeti kwenye sekta ya michezo ili kuipaisha zaidi sekta hiyo huku dhamira kuu ikiwa ni kupata mafanikio makubwa zaidi. Majaliwa ameyasema hayo leo Oktoba 4, 2023 katika hafla ya kukabidhi hundi ya Sh milioni 500 kwa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars ikiwa ni … Continue reading Majaliwa: Serikali inataka makubwa zaidi kwenye michezo
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed