Majanga yaanza Arsenal, Jesus nje mwezi mmoja

#BREAKING: Mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Jesus atakosa mechi zote za Kombe la Dunia, baada ya kupata jeraha la goti katika mchezo wa jana dhidi ya Cameroon. Taarifa hiyo imetolewa na timu ya madaktari wa Brazil, ambapo Alex Telles naye atakosa michezo yote kutokana na majeraha. Jesus atarejea Arsenal Januari, huku taarifa zikieleza kuwa huenda akakaa … Continue reading Majanga yaanza Arsenal, Jesus nje mwezi mmoja