Mgombea ubunge CUF ajiunga ACT Wazalendo
DAR ES SALAAM; ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kondoa Mjini katika uchaguzi wa mwaka 2015-2020 Ally Kambi, leo Juni 10, 2024, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo akitokea Chama cha Wananchi (CUF). – Mgombea huyo alipokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu makao makuu ya chama hicho Magomeni, Dar es Salaam. #HabariLEO … Continue reading Mgombea ubunge CUF ajiunga ACT Wazalendo
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed