Milioni 2 wanufaika na Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria

DAR ES SALAAM — Kampeni ya Mama Samia Legal Aid, iliyoanzishwa mwaka 2023 kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi, imewafikia na kuwahudumia zaidi ya wananchi milioni 2 nchini kote. Kampeni hiyo sasa inatua rasmi jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 16 hadi Juni 25, 2025. Kampeni hii ni matokeo ya ushirikiano kati … Continue reading Milioni 2 wanufaika na Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria