Huduma za kibingwa zafika kanda ya kati

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepeleka huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi walioko mikoa ya kanda ya kati ikiwemo Dodoma. Huduma zimeanza kutolewa jana katika kwanza cha Chinangali Park, Dodoma ambapo Daktari Bingwa Mbobezi wa mifupa MOI, Dk Tumaini Minja ameeleza huduma ambazo wananchi wanazipata katika banda … Continue reading Huduma za kibingwa zafika kanda ya kati