Mradi wa maji wa bil 12.8/-wazinduliwa Lamadi

RAIS Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya siku tano katika Mkoa wa Simiyu kwa kuzindua mradi mkubwa wa maji Lamadi ambao umegharimu Sh bilioni 12.8. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri alisema mradi huo umelenga kuwahudumia wananchi 85,000. Alisema wananchi hao ni kutoka katika vijiji … Continue reading Mradi wa maji wa bil 12.8/-wazinduliwa Lamadi