Msigwa afunguka mazito akihamia CCM

DAR ES SALAAM – Aliyekuwa Mwanasiasa wa upinzani nchini, Mchungaji Peter Msigwa amefunguka mazito mara baada ya kupokelewa na Chama cha Mapinduzi (CCM) akidai ameondoka CHADEMA kwa sababu ya ubinafsi wa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe. Msigwa amemtuhumu Mwenyikiti wa Chadema kuwa ameshindwa kuruhusu wajumbe wengine kuongoza chama hicho wala kugombe katika nafasi kubwa, … Continue reading Msigwa afunguka mazito akihamia CCM