Mwenge wa Uhuru una historia ya kuvutia

DAR ES SALAAM; Mwenge wa Uhuru: Mwangaza wa Uhuru, Umoja, na Maendeleo ya Taifa la Tanzania. KIla Desemba 9, Tanzania Bara  inasherehekea siku muhimu, siku ya uhuru, huku ikienzi moja ya alama kubwa za taifa letu, Mwenge wa Uhuru. Mwenge wa Uhuru ni ishara ya nguvu, matumaini na mwangaza, mwangaza unaoongoza taifa letu kuelekea maendeleo, … Continue reading Mwenge wa Uhuru una historia ya kuvutia