Mwenge wazindua miradi ya bil 30/- Arusha

ARUSHA: MWENGE wa Uhuru wawasili mkoani Arusha na kuzindua miradi 54 yenye thamani ya Sh bilioni 30.3 katika halmashauri saba za mkoa huu. Mwenge huo umewasili leo mkoani hapa na kukabithiwa eneo la King’ori Kibaoni wilayani Arumeru na kukabithiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenan Kihongosi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin … Continue reading Mwenge wazindua miradi ya bil 30/- Arusha