Mwenge wazindua mradi wa bil 2.7/-

Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa maji wenye thamani ya sh bilioni 2.7 ambao utahudumia wakazi zaidi ya 4000 katika Kijiji cha Funta na Manga katika Halimashauri ya Bumbuli mkoani Tanga. Mradi huo unaosimamiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) umekuwa mkombozi wa kumaliza changamoto ya ukosefu wa maji ya uhakika … Continue reading Mwenge wazindua mradi wa bil 2.7/-