PPAA inavyotumia 4R kuimarisha uwazi ununuzi wa umma

NI miaka minne na mwezi mmoja tangu Serikali ya Awamu ya Sita iingie madarakani chini ya uongozi imara na thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia aliingia madarakani Machi 19, 2021 na wakati wote wa uongozi wake, serikali imekuwa ikisisitiza na kusimamia uwazi na uwajibikaji katika sekta ya ununuzi wa umma kuhakikisha rasilimali zinatumika … Continue reading PPAA inavyotumia 4R kuimarisha uwazi ununuzi wa umma