PPRA yatakiwa kuendeleza mafanikio

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Ununuzi wa Umma ( PPRA) kuhakikisha inayaendeleza mafanikio waliyoyapata kwa mwaka uliopita ili Mamlaka hiyo iendelee kukua kila mwaka. Dk Nchemba ametoa agizo hilo Dar es Salaam leo mara baada ya kupokea ripoti ya mwaka ya utendaji wa mamlaka hiyo ya mwaka 2023/24, ambapo ameitaka pia … Continue reading PPRA yatakiwa kuendeleza mafanikio