Rais Samia afanya uteuzi wakuu wa wilaya, wakurugenzi

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mwanahamisi Athumani Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Hanafi Msabaha ambaye uteuzi wake umetenguliwa. – Mwanahamisi aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke na uteuzi wake ukatenguliwa na nafasi yake ikachukuliwa na Mobhare Matinyi. – Rais Samia amemteua Dk Stephen Isaac Mwakajumilo kuwa Mkuu wa Wilaya … Continue reading Rais Samia afanya uteuzi wakuu wa wilaya, wakurugenzi