RC Batilda aja na vipaumbele 14 Tanga
TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, ameripoti Leo kwenye kituo chake kipya cha kazi na ametaja vipaumbele 14 vitakavyomuongoza katika utumishi wake mkoani humo. Amevitaja vipaumbele hivyo katika hafla ya kumuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Kanal Evance Mtambi amevitaja vipaumbele hivyo kuwa ni kuboresha kiwango cha ufaulu katika elimu , kuboresha … Continue reading RC Batilda aja na vipaumbele 14 Tanga
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed