REA yatoa majiko ya gesi 310 kwa maafisa magereza Geita
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imetoa majiko na mitungi ya gesi 310 yenye uzito wa kilo 15 kila moja kwa maofisa magereza mkoani Geita ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi za umma. Aidha REA imepanga kusambaza tani 19 za mkaa mbadala kwenye magereza manne ya mkoa wa Geita … Continue reading REA yatoa majiko ya gesi 310 kwa maafisa magereza Geita
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed