Ruwasa wajipanga kupunguza adha ya maji Geita

GEITA: SERIKALI kupitia Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), imetenga kiasi cha Sh milioni 965.4 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji katika kata ya Katoma iliyopo kwenye Jimbo la Geita Vijijini. Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Geita, Mhandisi Sande Batakanwa amesema hayo mbele ya viongozi wa mbio za Mwenge kitaifa … Continue reading Ruwasa wajipanga kupunguza adha ya maji Geita