Samia akerwa utegemezi wahisani utekelezaji miradi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na utaratibu wa kugharimia miradi kwa kuomba misaada nje ilihali inaweza kugharimiwa na fedha za ndani. Sambamba na hilo, amesema masharti yanayotolewa na wahisani hayana msingi hivyo ni wakati wa taifa kutegemea zaidi makusanyo ya ndani zaidi kuliko misaada kutoka nje kugharimia miradi mbalimbali. Rais Samia amesema hayo wilayani … Continue reading Samia akerwa utegemezi wahisani utekelezaji miradi