Samia atoa neno michango shuleni

ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi kuwa tayari kuchangia kiasi kidogo kinachohitajika kuwawezesha wanafunzi kukamilisha mahitaji ya kimasomo kwa sababu seri kali imebeba sehemu kubwa ya gharama za elimu kwa watoto. Alisema hayo jana akiz indua Shule ya Sekondari ya Bumbwini Misufini iliyoko Kaskazini B, Zanzibar. Alisema ni lazima wazazi watumie fursa ya uwekezaji … Continue reading Samia atoa neno michango shuleni