SBL yawanoa wanawake, vijana wanaosambaza vinywaji

MWANZA: Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali, Bridge for Change (BFC), imezindua programu ya  Learning for Life iliyoelenga kuwapatia wanawake na vijana wanaosambaza vinywaji Kanda ya Ziwa, ujuzi wa misingi ya biashara ili kuwa na uendelevu. Wajasiriamali wa awali 50 walichaguliwa kutoka sehemu mbalimbali za Kanda ya Ziwa … Continue reading SBL yawanoa wanawake, vijana wanaosambaza vinywaji