Serikali yasajili NGOs mpya 1,418
DODOMA: Serikali imesajili Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) 1,418 kwa mwaka 2023, ikilinganishwa na Mashirika 1,351 yaliyosajiliwa mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 9.8. Kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Fedha ni kuwa ongezeko hilo lilitokana na matumizi ya mfumo wa kielektroniki katika usajili wa Mashirika. Taarifa hiyo imeeleza kuwa kati ya mashirika … Continue reading Serikali yasajili NGOs mpya 1,418
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed