Siku ya kuzaliwa: Odemba aungana watoto wenye uhitaji

DAR ES SALAAM: Mwanamitindo wa kimataifa, Miriam Odemba, anatarajiwa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kusherehekea pamoja na watoto wenye ulemavu katika shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi inaakisi dhamira yake ya muda mrefu katika kuendeleza upendo, ujumuishaji wa jamii, na huduma kwa makundi maalum. Akizungumza kuhusu … Continue reading Siku ya kuzaliwa: Odemba aungana watoto wenye uhitaji