Soka la Ufukweni wang’ara, watolewa
TIMU ya Taifa ya Soka la Ufukweni imemaliza mchezo wa hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Mauritius katika mchezo wa mwisho hatua hiyo, michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (Cosafa) uliochezwa jana nchini Afrika Kusini. Matokeo hayo yameifanya Tanzania kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kundi B … Continue reading Soka la Ufukweni wang’ara, watolewa
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed