Taasisi ya Miriam Odemba kufanya kampeni uchangiaji damu

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Miriam Odemba Foundation (MOF) inakusudia kufanya kampeni ya kuchangia damu, kutembelea wodi za wazazi na kutoa huduma zingine za afya Julai 25, jijini Dar es Salaam. Taarifa ya taasisi hiyo imeeleza kuwa lengo ni kusaidia wamama na kuchangia kwa namna tofauti kuwapa huduma za afya. Taasisi hiyo pia imewakaribisha wadau … Continue reading Taasisi ya Miriam Odemba kufanya kampeni uchangiaji damu