TAKUKURU Tanga yaokoa Mil 76/-makusanyo ya mapato
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) mkoani Tanga imeokoa sh Milioni 76.04 kutokana na ubadhirifu wa fedha za mapato ya serikali kwa mfumo wa POS uliofanywa na watumishi wa umma katika wilaya za Kilindi, Korogwe na Tanga Jiji. Mkuu wa TAKUKURU Tanga, Ramadhani Ndwatah amesema hayo wakati akitoa taarifa za utendajikazi wa taasisi hiyo … Continue reading TAKUKURU Tanga yaokoa Mil 76/-makusanyo ya mapato
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed