Tanzania kuwa Guangzhou

MRADI mkubwa wa  Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki (EACLC) unaojengwa Ubungo unatarajiwa kuwa kiunganishi kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na ndio wadhamini wakuu wa Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ‘Sabasaba’. Hayo yamesemwa leo Julai 4, 2023 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Exaud Kigahe akizungumza leo Julai 4, … Continue reading Tanzania kuwa Guangzhou