Tril 1.3/-kutatua changamoto bonde mto Msimbazi
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa kiasi cha Sh trilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa miradi itakayosaidia kutatua changamoto zilizopo kwenye bonde la mto msimbazi katika Wilaya ya Kinondoni Dar es salaam. Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba ameeleza hayo leo Aprili 29 wakati akizungumzia utekelezaji wa ilani uliofanyika jimboni humo katika viwanja vya … Continue reading Tril 1.3/-kutatua changamoto bonde mto Msimbazi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed