TSN kuiunganisha serikali, wananchi
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) imetakiwa kuhakikisha inaisemea serikali kwa kila inachofanya ili kuimarisha mahusiano mazuri kati ya serikali na wananchi wake. Naibu Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ametoa agizo hilo leo Machi 6, 2025, wakati wa ziara yake katika kampuni hiyo, iliyokuwa na lengo la kujitambulisha … Continue reading TSN kuiunganisha serikali, wananchi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed