Tume kukamilisha sheria makosa ya maadili

TUME ya Kurekebisha Sheria Tanzania ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha taarifa yake kuhusu mfumo wa sheria unaosimamia makosa dhidi ya maadili hapa nchini. Wakili wa Serikali kutoka katika tume hiyo, Ismail Hatibu amesema hayo katika maonesho ya Kitaifa ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Hatibu amesema … Continue reading Tume kukamilisha sheria makosa ya maadili