DAR ES SALAAM, Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeidhinisha matokeo ya mitihani 100 ya bodi hiyo iliyofanyika Novemba 2024, yakionesha ongezeko la ufaulu kutoka asilimia 66.4 mwaka jana hadi asilimia 70.3 mwaka huu. Wanaume wameongoza kwa ufaulu katika mitihani hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa … Continue reading Ufaulu mitihani NBAA wapanda
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed