Ulega ataka kasi ujenzi miundombinu Dodoma

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Dodoma ukamilike haraka. Ulega ametoa agizo hilo Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya urefu wa kilometa 112 ambayo kwa sasa imefikia asilimia 85. Pia, alikagua barabara za kutua … Continue reading Ulega ataka kasi ujenzi miundombinu Dodoma