UN yaipongeza Tanzania uhuru wa vyombo vya habari

UMOJA wa Mataifa umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini ,licha ya kukosolewa vikali na baadhi ya Watanzania wanaodai kwamba uhuru huo unatumika kueneza ushoga na usagaji. Akizungumza leo mjini Zanzibar katika maadhinisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini … Continue reading UN yaipongeza Tanzania uhuru wa vyombo vya habari