Usiyoyajua kuhusu soka la wanawake

DAR ES SALAAM; SOKA la wanawake Tanzania linazidi kukua kiasi cha timu nyingi kuanza kusajili wachezaji wa kulipwa kutoka mataifa mbalimbali kwa ajili ya kuongeza chachu ya ushindani. Lakini pamoja na kukua kuna changamoto kwenye mikataba kwa baadhi ya klabu zinaende sha timu kimazoea huku ny ingine kukiwa na maslahi duni kwa wachezaji kuonesha namna … Continue reading Usiyoyajua kuhusu soka la wanawake